Aussems ampa Djuma kazi maalum

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
18 Sep 2018
Aussems ampa Djuma kazi maalum
Kocha Msaidizi wa Simba kwa mara ya pili amekosa safari ya kikosi cha timu hiyo kilichosafiri kwenda mkoani Mwanza kucheza na Mbao FC.

Hata hivyo Aussems amevunja ukimya na kueleza sababu ya kumuacha Djuma jijini Dar es salaam kama alivyofanya kwenye mchezo uliopita mkoani Mtwara.

"Nimemuomba Masoud abaki Dar kusimamia mazoezi ya wachezaji waliobaki wakiwemo Juuko na Niyonzima kwa ajili ya kuwaandaa wawe fit kama wengine lakini pia kufatilia mchezo wa kesho Yanga dhidi ya Coastal Union," Aussems amenukuliwa na mtandao wa ShaffihDauda

Bado kumekuwa na sintofahamu juu ya nini kinaendelea baina ya makocha hao lakini ni dhahiri hawako na maelewano mazuri.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
30m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
22h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’