Wachezaji 20 Simba safarini Mwanza

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
18 Sep 2018
Wachezaji 20 Simba safarini Mwanza
Simba inaondoka Jumanne asubuhi kuelekea mkoani Mwanza tayari kwa mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Mbao FC.

Mchezo huo utapigwa keshokutwa Alhamisi kwenye dimba la CCM Kirumba.

SImba imeondoka na kikosi cha wachezaji 20 ambacho pia ndicho kilikwenda Mtwara kucheza na Ndanda FC.

Kikosi kamili

1. Aishi Manula
2. Deo Munishi
3. Nicholas Gyan
4. Shomari Kapombe
5. Paul Bukaba
6. Pascal Wawa
7. Erasto Nyoni
8. Yusuph Mlipili
9. Jonas Mkude
10. Mohammed Ibrahim
11. Adam Salamba
12. Emmanuel Okwi
13. John Boko
14. Meddie Kagere
15. Clatous Chama
16. Mohammed Hussein
17. Mohammed Rashid
18. Said Ndemla
19. Hassan Dilunga
20. Shiza Kichuya
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
1h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
2h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
8h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
20h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’