Baada ya kumaliza tofauti zao na uongozi wa Simba wachezaji wa Kimataifa Haruna Niyonzima na Juuko Murshidi wameanza mazoezi tayari kurejea katika kikosi cha kwanza.
Niyonzima na Murshidi wamekuwa nje tangu kuanza kwa msimu huu sababu ikielezwa ni kutofautiana na uongozi wa Simba kutokana na maslahi ya mikataba.
Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems huenda akaanza kuwatumia wachezaji hao baada ya kukamilika kwa michezo miwili ya kanda ya ziwa.

ADVERTISE HERE