Kagere ashinda tuzo ya mchezaji bora August

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
17 Sep 2018
Kagere ashinda tuzo ya mchezaji bora August
Mshambuliaji wa Simba Meddie Kagere amekuwa mchezaji wa kwanza kuibuka mchezaji bora wa mwezi ligi kuu ya Tanzania Bara baada ya kutwaa tuzo hiyo kwa mwezi August 2018.

Kagere ametangazwa kuwa mshindi wa tuzo hiyo baada ya kuwashinda oseph Mahundi wa Azam na Omary Mponda wa Kagera Sugar.

Kwenye mwezi wa nane Kagere aliiongoza Simba kushinda michezo miwili dhidi ya Prisons na Mbeya City yeye akifunga mabao yote matatu ya Simba kwenye michezo hiyo.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
3h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
9h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
12h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’