TFF yasitisha mchakato wa Uchaguzi Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
17 Sep 2018
TFF yasitisha mchakato wa Uchaguzi Simba
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limeusimamisha mchakato wa uchaguzi katika klabu ya Simba kutokana na kukiuka baadhi ya taratibu stahiki.

Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi (TFF), Revocatus Kuuli, amesema mchakato wa uchaguzi huo umegubikwa na mambo mengi ambayo hayajafuata taratibu rasmi.

Miongoni mwa mambo yanayoelezwa kwenda kinyume na kanuni za TFF ni pamoja na ada ya Wagombea kuwa kubwa ambapo kwa nafasi ya Mwenyekiti ilipaswa kuwa laki mbili na upande wa Wajumbe kuwa laki moja.

Kuuli amesema utaratibu uliotumiwa na Simba umewanyima fursa za kuwania uongozi wanachama wengi wa klabu hiyo.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
6h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
12h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
15h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’