Djuma sio sababu ya Simba kupata sare Mtwara - Manara

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
17 Sep 2018
Djuma sio sababu ya Simba kupata sare Mtwara - Manara
Mkuu wa Habari wa Simba Haji Manara amesema suluhu waliyoipata mkoani Mtwara dhidi ya Ndanda FC ni moja ya matokeo ya mpira na isihusishwe na kutokuwepo ka kocha wake msaidizi Masudi Djuma.

Kumekuwa na ukosoaji kwa uongozi wa Simba baada ya kumuacha Djuma safari ya Mtwara ikielezwa amebakishwa Dar kuendelea kukinoa kikosi cha Simba ambacho kilibaki.

Hoja ya kukosekana kwa uzoefu kwenye ligi ya Tanzania hasa michezo ya mikoani kwa kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems ndiyo inayotumiwa na wengi kukazia umuhimu wa Djuma ambaye msimu uliopita aliingoza Simba katika michezo hiyo na kufanikiwa kushinda michezo mingi.

"Kukosekana kwa Djuma si sababu ya sisi kwenda suluhu na Ndanda, katika mchezo wa mpira kunakuwa na aina ya matokeo matatu, sidhani kama wanaotupia lawama suala la yeye kubakia Dar es Salaam wanafanya jambo jema" amesema Manara.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Simba kuanza na Pirates nyumbani makundi CAFCL
Simba kuanza na Pirates nyumbani makundi CAFCL
5h ago
READ MORE β†’
Simba uso kwa uso na Berkane, Pirates kundi C
Simba uso kwa uso na Berkane, Pirates kundi C
6h ago
READ MORE β†’
Simba yatangaza ratiba ya uchaguzi, Wanachama kuanza kuchukua fomu Oktoba 30
Simba yatangaza ratiba ya uchaguzi, Wanachama kuanza kuchukua fomu Oktoba 30
6h ago
READ MORE β†’
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
9h ago
READ MORE β†’
Makundi CAFCL kujulikana leo
Makundi CAFCL kujulikana leo
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
14h ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
1d ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
1d ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1d ago
READ MORE β†’