Simba kusahihisha makosa mchezo dhidi ya Mbao FC

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
16 Sep 2018
Simba kusahihisha makosa mchezo dhidi ya Mbao FC
Baada ya mchezo wa jana mkoani Mtwara, kikosi cha Simba kitaelekea mkoani Mwanza kuikabili Mbao FC katika mchezo wa mzunguuko wa tano ligi kuu ya Tanzania Bara.

Baada ya kulazimishwa sare na Ndanda FC, kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems amesema wanaelekeza nguvu zao kwenye mchezo unaofuata kuhakikisha wanaibuka na ushindi.

"Dhamira yetu ilikuwa kushinda lakini tumekubali matokeo tuliyoyapa na sasa tunaelekeza nguvu zetu kwenye mchezo ujao dhidi ya Mbao FC," alisema Aussems kwa ufupi.

Simba itacheza na Mbao FC Septemba 20 kabla ya kumaliza ratiba ya kanda ya ziwa kwa kucheza na Mwadui FC mkoani Shinyanga Septemba 22.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
6h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
9h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
16h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’