Hatma ya Djuma Simba bado ni kitendawili

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
15 Sep 2018
Hatma ya Djuma Simba bado ni kitendawili
Kocha Msaidizi wa Simba Masudi Djuma jana alikuwa uwanja wa Uhuru kushuhudia mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara kati ya African Lyon dhidi ya Coastal Union.

Djuma hakuambatana na kikosi cha Simba kilichosafiri mkoani Mtwara ikielezwa kuwa amebaki kuendelea kuwanoa wachezaji ambao hawakusafiri.

Hii ni mara ya kwanza kwa uongozi wa klabu ya Simba kumuacha kocha huyo kwenye safari hivyo kuzidi kuibua sintofahamu juu ya hatma yake Msimbazi

Tayari tetesi zimeanza kushika kasi kuwa Djuma huenda akatua Coastal Union aliyokwenda kuishuhudia ikipepetana na Lyon jana.

Kumekuwa na taarifa kuwa Djuma hana maelewano mazuri na kocha Mkuu Patrick Aussems hivyo kupelekea kocha huyo kutomuhitaji kwa safari ya Mtwara.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
2h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
5h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
6h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’