Ushindi kwanza, ufungaji bora baadae - Okwi

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
15 Sep 2018
Ushindi kwanza, ufungaji bora baadae - Okwi
Mfungaji Bora wa ligi kuu ya Tanzania Bara msimu uliopita Emmanuel Okwi amesema anafikiria zaidi kuisaidia Simba iweze kufanya vizuri na si ufungaji bora.

Okwi yuko mkoani Mtwara na kikosi cha Simba ambacho leo kinashuka kwenye uwanja wa Nagnwanda Sijaona kupepetana na Ndanda FC.

"Suala la ufungaji bora litakuja baadae sasa nafikiria zaidi kuisaidia Simba ili iweze kushinda michezo yake," amesema Okwi.

Ujio wa mshambuliaji Meddie Kagere unatajwa kuongeza ushindani katika upoachikaji mabao baina ya washambuliaji wa Simba.

Kagere tayari amefunga mabao matatu msimu huu akiwa anaongoza orodha ya wafungaji bora mpaka sasa.

Okwi, Kagere na Bocco leo wanatarajiwa kukiongoza kikosi cha Simba kwenye mchezo dhidi ya Ndanda.

Huo utakuwa mchezo wa kwanza kwa Okwi kucheza msimu huu kwenye ligi baada ya kukosa michezo miwili ya kwanza kutokana na kusumbuliwa na maumivu ya mgongo.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Makundi CAFCL kujulikana leo
Makundi CAFCL kujulikana leo
21m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
3h ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
18h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
21h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
2d ago
READ MORE β†’