Kesho Simba itashuka kwenye uwanja wa Nangwanda Sjjaona mkoani Mtwara kuikabili Ndanda FC kwenye mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara.
Baada ya mchezo huo, ratiba ya mabingwa hao wa Tanzania Bara inaonyesha Septemba 20 watakuwa mkoani Mwanza kucheza na Mbao FC kisha siku mbili baadae Septemba 22 kucheza na Mwadui FC mkoani Shinyanga.
Baada ya mchezo huo Simba itarejea jijini Dar es salaam na kucheza michezo nane mfululizo uwanja wa Taifa.
Hii hapa michezo;
Simba SC v Biashara United
Simba SC v Yanga SC
African Lyon v Simba SC
Simba SC v Stand United
Simba v Alliance FC
Ruvu Shooting FC v Simba SC
JKT Tanzania v Simba SC
KMC FC vs Simba SC
Michezo dhidi ya African Lyon, Ruvu Shooting, JKT Tanzania na KMC itapigwa uwanja wa Taifa lakini Simba itakuwa ugenini.

ADVERTISE HERE