FIFA break imeisha, muda wa kuendeleza vipigo Msimbazi

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
2d ago
FIFA break imeisha, muda wa kuendeleza vipigo Msimbazi

Baada ya kalenda ya FIFA kuhitimishwa hapo jana, mwishoni kwa wiki mikiki mikiki ya ligi kuu na mashindano mengine itarejea.

Vinara wa ligi kuu ya NBC Simba wao watashuka dimbani Jumamosi, Novemba 21 pale dimba la Isamuhyo kuwakabili maafande wa JKT Tanzania.

Huo utakuwa mchezo wa raundi ya 11 Simba ikisaka rekodi ya kushinda mechi ya 11 mfululizo msimu huu.

Baada ya mtanange huo Mnyama atakamilisha mwezi Novemba kwa mchezo wa kwanza wa hatua ya makundi CAFCL dhidi ya Orlando Pirates.

Mchezo huo utapigwa uwanja wa Uhuru, Novemba 29 muda mchezo huo ukitarajiwa kupigwa saa 10 jioni.

Kocha Steve Barker na vijana wake wanaendelea na maandalizi Mo Simba Arena ili kuhakikisha vipigo vinaendelea kwa kila anaekuja mbele.

Habari njema kwa Simba ni urejeo wa wachezaji waliokuwa kwenye majukumu ya timu za Taifa.

Anthony Mligo na mlinda lango Djibrilla Kassali wako tayari kuendelea na majukumu yao wakati Nathaniel Chilambo akikosekana kwa wiki kadhaa kutokana na majeraha aliyopata kwenye mchezo dhidi ya Nigeria wakati akiitumikia Taifa Stars.

Simba SC Stories

Wagombea zaidi wajitokeza siku ya mwisho kuchukua fomu Simba
Wagombea zaidi wajitokeza siku ya mwisho kuchukua fomu Simba
9h ago
READ MORE β†’
Barker apania kuendeleza wimbi la ushindi baada ya mapumziko ya FIFA
Barker apania kuendeleza wimbi la ushindi baada ya mapumziko ya FIFA
14h ago
READ MORE β†’
Miquissone aibukia Singida BS, arejea tena Ligi Kuu Tanzania
Miquissone aibukia Singida BS, arejea tena Ligi Kuu Tanzania
17h ago
READ MORE β†’
Zoezi la kuchukua fomu Simba kuhitimishwa leo
Zoezi la kuchukua fomu Simba kuhitimishwa leo
17h ago
READ MORE β†’
Ligi Kuu inarejea leo baada ya mapumziko ya FIFA, Mnyama dimbani Jumamosi
Ligi Kuu inarejea leo baada ya mapumziko ya FIFA, Mnyama dimbani Jumamosi
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Ijumaa, Novemba 20 2026
Magazeti ya leo Ijumaa, Novemba 20 2026
22h ago
READ MORE β†’
Mchungaji wa Simba achukua fomu Uenyekiti wa Simba
Mchungaji wa Simba achukua fomu Uenyekiti wa Simba
1d ago
READ MORE β†’
Simba kinara wa mabao ya mipira ya kutenga ligi kuu
Simba kinara wa mabao ya mipira ya kutenga ligi kuu
1d ago
READ MORE β†’
Mpanzu, Chama, Oura jino kwa jino kuzifumania nyavu ligi kuu
Mpanzu, Chama, Oura jino kwa jino kuzifumania nyavu ligi kuu
1d ago
READ MORE β†’
Kapombe, Hamza, Nangu wamuongezea mzuka Barker
Kapombe, Hamza, Nangu wamuongezea mzuka Barker
1d ago
READ MORE β†’