Tarehe ya uchaguzi bado hakieleweki, fomu kuanza kutolewa leo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
4d ago
Tarehe ya uchaguzi bado hakieleweki, fomu kuanza kutolewa leo

Huku zoezi la uchukuaji fomu za kuwania uongozi ndani ya klabu ya Simba likiwa limepangwa kuanza rasmi leo, mchakato huo umeingia dosari kufuatia mvutano mkali wa kisheria na kikatiba kati ya Simba na Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF).

Tumekuwa na mvutano wa masuala mbalimbali ikiwemo tarehe ya kufanyika uchaguzi huo ambapo Wanachama wengi wa Simba wamejitokeza kupinga tarehe pendekezwa ya Januari 30 wakitaka uchaguzi huo ufanyika Januari 03 kama ilivyotangazwa awali.

Hata hivyo Kamati ya Uchaguzi ya TFF imesimamia msimamo wake wa uchaguzi kufanyika Januari 30 huku ikisisitiza kusimamia uchaguzi huo kulingana na miongozo na kalenda waliyoipanga, hatua inayotajwa na baadhi ya wadau wa Simba kama kuingilia masuala ya ndani ya klabu.

Kwa mujibu wa taarifa ya Kamati ya uchaguzi ya TFF,  zoezi la kuchukua na kurejesha fomu linaanza rasmi leo, Novemba 16, na litahitimishwa Novemba 20, 2026.

Uchaguzi huo unatarajiwa kujaza nafasi zifuatazo:

  • Mwenyekiti (au Rais): Nafasi kuu ya juu ya klabu.
  • Wajumbe watano (5): Wa Bodi ya Wakurugenzi upande wa mashabiki/wanachama.

Simba SC Stories

Wagombea zaidi wajitokeza siku ya mwisho kuchukua fomu Simba
Wagombea zaidi wajitokeza siku ya mwisho kuchukua fomu Simba
9h ago
READ MORE β†’
Barker apania kuendeleza wimbi la ushindi baada ya mapumziko ya FIFA
Barker apania kuendeleza wimbi la ushindi baada ya mapumziko ya FIFA
14h ago
READ MORE β†’
Miquissone aibukia Singida BS, arejea tena Ligi Kuu Tanzania
Miquissone aibukia Singida BS, arejea tena Ligi Kuu Tanzania
17h ago
READ MORE β†’
Zoezi la kuchukua fomu Simba kuhitimishwa leo
Zoezi la kuchukua fomu Simba kuhitimishwa leo
17h ago
READ MORE β†’
Ligi Kuu inarejea leo baada ya mapumziko ya FIFA, Mnyama dimbani Jumamosi
Ligi Kuu inarejea leo baada ya mapumziko ya FIFA, Mnyama dimbani Jumamosi
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Ijumaa, Novemba 20 2026
Magazeti ya leo Ijumaa, Novemba 20 2026
22h ago
READ MORE β†’
Mchungaji wa Simba achukua fomu Uenyekiti wa Simba
Mchungaji wa Simba achukua fomu Uenyekiti wa Simba
1d ago
READ MORE β†’
Simba kinara wa mabao ya mipira ya kutenga ligi kuu
Simba kinara wa mabao ya mipira ya kutenga ligi kuu
1d ago
READ MORE β†’
Mpanzu, Chama, Oura jino kwa jino kuzifumania nyavu ligi kuu
Mpanzu, Chama, Oura jino kwa jino kuzifumania nyavu ligi kuu
1d ago
READ MORE β†’
Kapombe, Hamza, Nangu wamuongezea mzuka Barker
Kapombe, Hamza, Nangu wamuongezea mzuka Barker
1d ago
READ MORE β†’