Katika orodha ya wachezaji waliohusika kwenye mabao mengi ligi kuu ya NBC msimu huu, kiungo mshambuliaji wa Simba Libasse Gueye bado hashikiki.
Libasse anaongoza orodha hiyo akiwa amehusika kwenye mabao 9 yaliyofungwa na Simba.
Awetoa asisti saba ya kufunga mabao mawili. Anuary Jabir ndiye anayefuata kwenye orodha hiyo akiwa amefunga mabao nane.
