Kikosi cha Simba tayari kiko mkoani Mtwara kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara dhidi ya wenyeji wao, Ndanda FC.
Simba iliondoka mapema leo kwa usafiri wa Ndege ikiwa na kikosi cha wachezaji 20 na benchi la ufundi likiongozwa na kocha Mkuu Patrick Aussems.
Kocha Msaidizi Masudi Djuma amebaki jijini Dar es salaam akiendelea kukinoa kikosi cha wachezaji waliobaki.
Simba itashuka dimbani keshokutwa, Septemba 15 uwanja wa Nangwanda Sijaona kuikabili Ndanda.

ADVERTISE HERE