Shirikisho la soka nchini TFF leo linatarajiwa kuzungumza na waandishi wa habari kuhusu mchezo wa watani wa jadi kati ya Simba na Yanga uliopangwa kupigwa Septemba 30, 2018.
ADVERTISE HERE