Niyonzima, Juuko kuanza mazoezi kesho

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
12 Sep 2018
Niyonzima, Juuko kuanza mazoezi kesho
Wachezaji wa Simba, Juuko Murshid raia wa Uganda na Mnyarwanda Haruna Niyonzima, wamerudishwa kwenye timu lakini kwa makubaliano maalumu.

Wachezaji hao ambao wako jijini Dar es Salaam, walikaa kikao 'kizito' na Kaimu Rais wa Simba, Salim Abdallah 'Try Again' na kufanya makubaliano hayo.

Wachezaji hao hawakuwa pamoja na timu kwa kipindi kirefu kutokana na madai ya utovu wa nidhamu.

Sehemu ya masharti yao ni kwenda sawa na matakwa ya klabu.

Wachezaji hao hawajaanza mazoezi ya pamoja na wenzao na wanatarajiwa kuanza rasmi kesho Alhamisi ambapo watafanya pamoja na kikosi cha pili ambacho kitabaki jijini Dar es Salaam na kocha msaidizi, Mrundi Masoud Djuma.

Wachezaji 20 wa kikosi cha kwanza pamoja na benchi la ufundi chini ya Patrick Aussems wataondoka kesho kwa usafiri wa ndege kwenda Mtwara tayari kwa mchezo dhidi ya Ndanda FC

Mwanaspoti
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
6m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’