Simba leo imecheza mchezo kirafiki na Nyundo FC huko Katavi ikiwa ni mwendelezo wa maandalizi ya michezo inayofuata ligi kuu ya Vodacom.
Mchezo huo umemalizika kwa suluhu ya bila kufungana.
Kocha Joseph Omog aliwapa nafasi wachezaji ambao hawapati nafasi mara kwa mara kwenye kikosi cha kwanza.
Simba inarejea Mbeya kuendelea na maandalizi ya mchezo dhidi ya Prisons, Novemba 18

ADVERTISE HERE