Baada ya ushindi wa 9 mfululizo ligi kuu ya NBC dhidi ya Fountain Gate, kikosi cha Simba kinarejea jijini Dar es salaam tayari kwa ratiba ya mechi zinazofuata.
Jumatatu, Novemba 02, Simba itakuwa mwenyeji wa Namungo Fc katika mchezo utakaopigwa uwanja wa Uhuru.
Mnyama amepania kuendeleza ubabe kwenye ligi akisaka rekodi ya kumaliza mechi 15 za duru ya kwanza bila ya kupoteza.







ADVERTISE HERE