Simba yaongeza kasi ujenzi uwanja wa Bunju

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
12 Sep 2018
Simba yaongeza kasi ujenzi uwanja wa Bunju
Ujenzi wa uwanja wa klabu ya Simba unaendelea kwa kasi Bunju, nje kidogo ya jiji la Dar es salaam.

Mkuu wa Habari wa klabu hiyo Haji Manara amesema wamedhamiria kukamilisha uwanja huo haraka ili waepukane na gharama za kukodisha viwanja vya mazoezi.

"Ujenzi unaendelea vizuri. Tunataka kuukamilisha uwanja mapema iwezekanavyo. Hivi karibuni tutawaita waandishi wa habari mje mjionee," amesema Manara.

Hivi karibuni mwekezaji wa Simba Mo Dewji aliahidi kuongeza fedha kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa uwanja huo.

Udhamini wa kinywaji cha Mo Energy umeipatia Simba Mil 250 ambazo zote zilielekezwa kwenye ujenzi wa uwanja huo.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Makundi CAFCL kujulikana leo
Makundi CAFCL kujulikana leo
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
4h ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
18h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
22h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
2d ago
READ MORE β†’