Simba kukata rufaa kifungo cha Robert

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
11 Sep 2018
Simba kukata rufaa kifungo cha Robert
Uongozi wa Simba umeweka wazi dhamira ya kuikatia rufaa ya hukumu ya kifungo cha soka cha mwaka mmoja alichopewa Meneja wake Robert Richard.

Jana Kamati ya Maadili ya Shirikisho la soka nchini (TFF) ilimfungia Robert baada ya kumpata na hatia ya makosa mawili ya kuihujumu timu ya Taifa akidaiwa kuwakwamisha wachezaji wa Simba kuripoti kambi ya timu ya Taifa kwa wakati.

Kaimu Rais wa Simba Salim Abdallah 'Try Again' amesema uongozi wa Simba umefikia makubaliano ya kuikatia rufaa hukumu hiyo baada ya kutorishishwa nayo.

"Tumepata taarifa juu ya kufungiwa kwa Robert. Yule ni mwajiriwa wetu sisi kama klabu tumekaa tumelijadili na tumelitafakari tutamtetea kuna ngazi za rufaa tutawajulisha," amesema
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
4h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
7h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
9h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
14h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’