Baridi ni kali sana kileleni

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
1h ago
Baridi ni kali sana kileleni

Msimu huu mapema tu ubingwa Msimbazi! ndivyo unavyoweza kusema kwa kuangalia mwenendo wa ligi baada ya mechi nane.

Simba imejiimarisha kileleni ikiwa na alama 24 baada ya kushinda mechi zote nane leo watani zao Yanga wakiponea chupuchupu wakiambulia suluhu dhidi ya TRA United.

Matokeo hayo yameifanya Simba ijichimbie kileleni kwa tofauti ya alama tano.

Jumapili hii Simba inamaliza kufuzu hatua ya makundi ya ligi ya mabingwa kisha kuelekea Manyara kuikabili Fountain Gate mchezo wa ligi kuu utakaopigwa Jumatano.

Hii itakuwa mechi nyingine kwa Simba kuzidi kujichimbia kileleni mwa msimamo wa ligi.

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Ubingwa CAFCL inawezekana
Ubingwa CAFCL inawezekana
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumamosi, Oktoba 24 2026
Magazeti ya leo Jumamosi, Oktoba 24 2026
12h ago
READ MORE β†’
Simba uhakika Pot 2 makundi CAFCL
Simba uhakika Pot 2 makundi CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Doumbia awashukuru mashabiki wa Simba kwa uvumilivu, asema kazi ndiyo imeanza
Doumbia awashukuru mashabiki wa Simba kwa uvumilivu, asema kazi ndiyo imeanza
1d ago
READ MORE β†’
Kisa mashabiki: Simba yatozwa faini ya Sh Milioni 15
Kisa mashabiki: Simba yatozwa faini ya Sh Milioni 15
1d ago
READ MORE β†’
Simba yajivunia rekodi ya kibabe CAFCL
Simba yajivunia rekodi ya kibabe CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Ijumaa, Oktoba 23 2026
Magazeti ya leo Ijumaa, Oktoba 23 2026
1d ago
READ MORE β†’
Simba yatangaza viingilio vya mchezo wa marudiano dhidi ya 15 de Agosto
Simba yatangaza viingilio vya mchezo wa marudiano dhidi ya 15 de Agosto
2d ago
READ MORE β†’
Doumbia atakuwa bora zaidi - Barker
Doumbia atakuwa bora zaidi - Barker
2d ago
READ MORE β†’
Chilambo labda nafasi ya kipa tu ndio hachezi
Chilambo labda nafasi ya kipa tu ndio hachezi
2d ago
READ MORE β†’