15 de Agosto dhidi ya Simba sasa ni Oktoba 21

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
2d ago
15 de Agosto dhidi ya Simba sasa ni Oktoba 21

Mchezo wa mkondo wa kwanza kuwania kufuzu hatua ya makundi ligi ya mabingwa kati ya 15 de Agosto dhidi ya Simba, umesogezwa mbele kwa siku moja ambapo sasa utapigwa Oktoba 21 kwenye uwanja wa Uhuru saa 9 Alasiri.

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba Ahmed Ali amethibitisha mabadiliko hayo ambapo amesema timu ya de Agosto iliomba kwa CAF baada ya kukosa ndege ya kuwafikisha mapema nchini.

Aidha mchezo huo hautakuwa na mashabiki de Agosto wakiweka msimamo wa kutohitaji mashabiki kuingia.

Mchezo wa mkondo wa pili utapigwa kwenye uwanja huo huo Oktoba 25 na wakati huu Simba itakuwa mwenyeji, mashabiki wakitarajiwa kushuhudia mtanange huo.

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

15 de Agosto yawasili Dar kwa mchezo dhidi ya Simba
15 de Agosto yawasili Dar kwa mchezo dhidi ya Simba
1h ago
READ MORE β†’
15 de Agosto wanaandaliwa dozi saizi yao
15 de Agosto wanaandaliwa dozi saizi yao
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 20, 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 20, 2026
5h ago
READ MORE β†’
CAF yabadili mwamuzi wa mchezo wa 15 de Agosto dhidi ya Simba SC
CAF yabadili mwamuzi wa mchezo wa 15 de Agosto dhidi ya Simba SC
19h ago
READ MORE β†’
Wanasimba kushuhudia mchezo dhidi ya 15 de Agosto kwenye skrini kubwa Mwembeyanga
Wanasimba kushuhudia mchezo dhidi ya 15 de Agosto kwenye skrini kubwa Mwembeyanga
23h ago
READ MORE β†’
Huyu Libasse ni moto kweli
Huyu Libasse ni moto kweli
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama amepania kumaliza mechi mapema Jumatano
Mnyama amepania kumaliza mechi mapema Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Mara Paap!, Dube anatua Msimbazi
Mara Paap!, Dube anatua Msimbazi
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 19 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 19 2026
1d ago
READ MORE β†’
Barker aweka mkakati wa kuwaadhibu 15 de Agosto licha ya kuwazuia mashabiki
Barker aweka mkakati wa kuwaadhibu 15 de Agosto licha ya kuwazuia mashabiki
2d ago
READ MORE β†’