Manara asikitishwa na kufungiwa kwa Meneja Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
10 Sep 2018
Manara asikitishwa na kufungiwa kwa Meneja Simba
Mkuu wa Habari wa Simba Haji Manara ameeleza masikitiko yake baada ya kufungiwa kwa Meneja wa klabu Robert Richard.

Mapema leo Shirikisho la Soka nchini (TFF) lilimfungia Richard kwa mwaka mmoja kutojihusisha na soka na kulimwa faini ya Sh. milioni 4 baada ya kudaiwa kukutwa na hatia ya kuhujumu Timu ya Taifa, Taifa Stars.

"Nna maswali milioni kichwani juu ya matumizi ya neno 'HUJUMA' tena kwa nchi," amehoji Manara.

"Na katika haya yaliyojitokeza kwa kweli nimejitahidi sana kushusha munkari wa watu wetu. Na mimi huwa naamini ktk 'MARIDHIANO' tena ktk njia nyepesi ya 'WIN WIN SITUATION' ila kwa hili.........."

Kumekuwa na maoni tofauti kwa wadau wa soka nchini baada ya uamuzi huo wa TFF huku wengi wakisikitishwa na hatu hiyo iliyochukuliwa.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
6m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’