Huu moto wa Libasse hakuna wa kuzima

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
5d ago
Huu moto wa Libasse hakuna wa kuzima

Kiungo mshambuliaji wa Simba Libasse Gueye ameendelea kuwa chachu ya mafanikio ya Wekundu hao wa Msimbazi msimu huu.

Libasse ni mtambo wa kuzaliwa mabao akiifanya kazi hiyo kwenye kila mechi.

Simba ikiwa imeshuka dimbani mara nane kwenye ligi, Libasse amehusika kwenye mabao 9 yaliyofungwa na Wekundu hao wa Msimbazi.

Libasse amefunga mabao mawili huku akitoa asisti 7 akiongeza asisti mbili kwenye mechi zilizopita dhidi ya Yanga na Mashujaa Fc mchezo ambao pia alifunga bao.

Kwa wastani Libasse amehusika kwenye bao moja kwenye kila mchezo takwimu zinazomfanya kuwa mchezaji mwenye mchango mkubwa zaidi kwenye ligi mpaka sasa.

Kama ligi ingekuwa inamalizika sasa, tuzo ya MVP tayari ingepata mwenyewe, nyota huyo wa Kimatafa kutoka Senegal

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

15 de Agosto yawasili Dar kwa mchezo dhidi ya Simba
15 de Agosto yawasili Dar kwa mchezo dhidi ya Simba
1h ago
READ MORE β†’
15 de Agosto wanaandaliwa dozi saizi yao
15 de Agosto wanaandaliwa dozi saizi yao
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 20, 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 20, 2026
5h ago
READ MORE β†’
CAF yabadili mwamuzi wa mchezo wa 15 de Agosto dhidi ya Simba SC
CAF yabadili mwamuzi wa mchezo wa 15 de Agosto dhidi ya Simba SC
19h ago
READ MORE β†’
Wanasimba kushuhudia mchezo dhidi ya 15 de Agosto kwenye skrini kubwa Mwembeyanga
Wanasimba kushuhudia mchezo dhidi ya 15 de Agosto kwenye skrini kubwa Mwembeyanga
23h ago
READ MORE β†’
Huyu Libasse ni moto kweli
Huyu Libasse ni moto kweli
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama amepania kumaliza mechi mapema Jumatano
Mnyama amepania kumaliza mechi mapema Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Mara Paap!, Dube anatua Msimbazi
Mara Paap!, Dube anatua Msimbazi
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 19 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 19 2026
1d ago
READ MORE β†’
Barker aweka mkakati wa kuwaadhibu 15 de Agosto licha ya kuwazuia mashabiki
Barker aweka mkakati wa kuwaadhibu 15 de Agosto licha ya kuwazuia mashabiki
2d ago
READ MORE β†’