Mnyama dimbani dhidi ya Mashujaa Fc leo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
13 Oct 2026
Mnyama dimbani dhidi ya Mashujaa Fc leo

Mikiki mikiki ya ligi kuu ya NBC inaendelea leo ambapo mchezo mmoja unatarajiwa kupigwa jijini Dar es salaam.

Vinara wa ligi hiyo klabu ya Simba itakuwa mwenyeji wa Mashujaa Fc katika mchezo utakaopigwa uwanja wa Uhuru saa 1 usiku.

Baada ya kupanda kileleni mwa msimamo wa ligi, itakuwa nafasi kwa Simba kuongeza gap la pointi juu ya msimamo dhidi ya timu zilizochini yake.

Simba itashuka uwanja wa Uhuru ikitoka kupata ushindi muhimu wa mabao 2-1 dhidi ya wapinzani wao wakuu Yanga katika mchezo uliopita.

Mkufunzi wa Simba Steve Barker ameweka wazi wanahitaji kushinda mchezo huo kabla ya kuhamishia nguvu zao kwenye michuano ya ligi ya mabingwa.

Simba inakabiliwa na mchezo wa mkondo wa kwanza kuwania kufuzu hatua ya makundi ligi ya mabingwa dhidi ya 15 de Agosto mwishoni mwa wiki.

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

15 de Agosto yawasili Dar kwa mchezo dhidi ya Simba
15 de Agosto yawasili Dar kwa mchezo dhidi ya Simba
1h ago
READ MORE β†’
15 de Agosto wanaandaliwa dozi saizi yao
15 de Agosto wanaandaliwa dozi saizi yao
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 20, 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 20, 2026
5h ago
READ MORE β†’
CAF yabadili mwamuzi wa mchezo wa 15 de Agosto dhidi ya Simba SC
CAF yabadili mwamuzi wa mchezo wa 15 de Agosto dhidi ya Simba SC
19h ago
READ MORE β†’
Wanasimba kushuhudia mchezo dhidi ya 15 de Agosto kwenye skrini kubwa Mwembeyanga
Wanasimba kushuhudia mchezo dhidi ya 15 de Agosto kwenye skrini kubwa Mwembeyanga
23h ago
READ MORE β†’
Huyu Libasse ni moto kweli
Huyu Libasse ni moto kweli
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama amepania kumaliza mechi mapema Jumatano
Mnyama amepania kumaliza mechi mapema Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Mara Paap!, Dube anatua Msimbazi
Mara Paap!, Dube anatua Msimbazi
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 19 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 19 2026
1d ago
READ MORE β†’
Barker aweka mkakati wa kuwaadhibu 15 de Agosto licha ya kuwazuia mashabiki
Barker aweka mkakati wa kuwaadhibu 15 de Agosto licha ya kuwazuia mashabiki
2d ago
READ MORE β†’