Bwalya awafunda wachezaji Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
7 Nov 2017
Bwalya awafunda wachezaji Simba
Beki wa zamani wa Simba, Frank Kasanga 'Bwalya' amewaambia wachezaji wa timu hiyo, kuwa wabunifu kila mechi ndiyo silaha itakayowapa ubingwa msimu huu.

Simba inaongoza Ligi Kuu Bara ikiwa na pointi 19 sawa na Azam walitofautiana kwa mabao ya kufunga.

Bwalya aliyetamba na Simba miaka tisini, alisema kikosi cha Simba naona kipo imara ni wachezaji wenyewe kujiongeza na kujua waliowasajili, wanahitaji nini kwao ndipo wanaweza kufikia malengo.

Anawapa angalizo kutoridhika kwa kukaa kileleni, kwamba wamepishana na Azam FC kwa mabao, lakini pointi zipo sawa, huku akisema Yanga inawapumulia mgongoni.

"Simba ndiyo yenye mtihani wa kujilinda ili wasianguliwe kwenye nafasi hiyo, cha kufanya waanze kuweka mikakati na kujifua kwa mbinu mpya kwa mchezo ujao,"alisema Bwalya.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
7h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
13h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
16h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
20h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’