Barker apania kuendeleza ubabe dhidi ya Mashujaa Fc

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
12 Oct 2026
Barker apania kuendeleza ubabe dhidi ya Mashujaa Fc

Kocha Mkuu wa Simba Steve Barker amesema kikosi chake kiko tayari kwa mchezo wa ligi kuu dhidi ya Mashujaa Fc ambao utapigwa kesho Jumanne kwenye uwanja wa Uhuru.

Akizungumzia maandalizi ya mchezo huo Barker alisema anatarajia mechi ngumu lakini mpango wake ni kuhakikisha wanaibuka na ushindi na kuendeleza mwanzo wao mzuri msimu huu.

"Maandalizi yamekamilika, tunatarajia kupata upinzani mkali kutoka kwa Mashujaa Fc"

"Tunakumbuka msimu uliopita walitupa changamoto kubwa lakini tumejipanga na tutaingia katika mchezo huo tukiwa na lengo la kuendeleza hali ya ushindi," alisema Barker

Aidha Barker amewataka mashabiki wa Simba kujitokeza kwa wingi uwanja wa Uhuru kuiunga mkono timu yao kama walivyofanya kwenye mchezo uliopita dhidi ya Yanga.

Wekundu hao wa Msimbazi wanarejea tena uwanja wa Uhuru siku tatu tu baada ya kuwaadhibu watani zao wa jadi Yanga katiika mchezo ambao uliacha gumzo baada ya Simba kutawala kila eneo la kuibuka na ushindi wa mabao 2-1

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

15 de Agosto yawasili Dar kwa mchezo dhidi ya Simba
15 de Agosto yawasili Dar kwa mchezo dhidi ya Simba
1h ago
READ MORE β†’
15 de Agosto wanaandaliwa dozi saizi yao
15 de Agosto wanaandaliwa dozi saizi yao
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 20, 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 20, 2026
5h ago
READ MORE β†’
CAF yabadili mwamuzi wa mchezo wa 15 de Agosto dhidi ya Simba SC
CAF yabadili mwamuzi wa mchezo wa 15 de Agosto dhidi ya Simba SC
19h ago
READ MORE β†’
Wanasimba kushuhudia mchezo dhidi ya 15 de Agosto kwenye skrini kubwa Mwembeyanga
Wanasimba kushuhudia mchezo dhidi ya 15 de Agosto kwenye skrini kubwa Mwembeyanga
23h ago
READ MORE β†’
Huyu Libasse ni moto kweli
Huyu Libasse ni moto kweli
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama amepania kumaliza mechi mapema Jumatano
Mnyama amepania kumaliza mechi mapema Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Mara Paap!, Dube anatua Msimbazi
Mara Paap!, Dube anatua Msimbazi
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 19 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 19 2026
1d ago
READ MORE β†’
Barker aweka mkakati wa kuwaadhibu 15 de Agosto licha ya kuwazuia mashabiki
Barker aweka mkakati wa kuwaadhibu 15 de Agosto licha ya kuwazuia mashabiki
2d ago
READ MORE β†’