Shoo za Mnyama zinaendelea dimba la Uhuru Jumanne, dhidi ya Mashujaa Fc

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
12 Oct 2026
Shoo za Mnyama zinaendelea dimba la Uhuru Jumanne, dhidi ya Mashujaa Fc

Kikosi cha Simba kesho Jumanne kinarejea tena uwanja wa Uhuru kuikabili Mashujaa Fc katika mwendelezo wa ligi kuu ya NBC.

Simba inarejea tena dimba la Uhuru zikiwa zimepita siku mbili tu tangu wawadhalilishe watani zao Yanga kwa kuwapiga soka la kitabuni na kuibuka na ushindi wa mabao 2-1.

Ushindi huo umeiweka Simba kileleni mwa msimamo wa ligi ikikusanya alama 21, ikiwa ni rekodi ya ushindi wa asilimia 100.

Kocha Mkuu wa Simba Steve Barker na vijana wake wamepania kuendeleza rekodi hiyo dhidi ya Mashujaa Fc hapo kesho.

Simba imetangaza viingilio vya mchezo huo;

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

15 de Agosto yawasili Dar kwa mchezo dhidi ya Simba
15 de Agosto yawasili Dar kwa mchezo dhidi ya Simba
1h ago
READ MORE β†’
15 de Agosto wanaandaliwa dozi saizi yao
15 de Agosto wanaandaliwa dozi saizi yao
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 20, 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 20, 2026
5h ago
READ MORE β†’
CAF yabadili mwamuzi wa mchezo wa 15 de Agosto dhidi ya Simba SC
CAF yabadili mwamuzi wa mchezo wa 15 de Agosto dhidi ya Simba SC
19h ago
READ MORE β†’
Wanasimba kushuhudia mchezo dhidi ya 15 de Agosto kwenye skrini kubwa Mwembeyanga
Wanasimba kushuhudia mchezo dhidi ya 15 de Agosto kwenye skrini kubwa Mwembeyanga
23h ago
READ MORE β†’
Huyu Libasse ni moto kweli
Huyu Libasse ni moto kweli
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama amepania kumaliza mechi mapema Jumatano
Mnyama amepania kumaliza mechi mapema Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Mara Paap!, Dube anatua Msimbazi
Mara Paap!, Dube anatua Msimbazi
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 19 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 19 2026
1d ago
READ MORE β†’
Barker aweka mkakati wa kuwaadhibu 15 de Agosto licha ya kuwazuia mashabiki
Barker aweka mkakati wa kuwaadhibu 15 de Agosto licha ya kuwazuia mashabiki
2d ago
READ MORE β†’