Mpanzu 'aliwapika' sawasawa 'uto'

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
11 Oct 2026
Mpanzu 'aliwapika' sawasawa 'uto'

Elie Mpanzu aliondoka na tuzo ya nyota wa mchezo akiingoza Simba kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Yanga katika mchezo wa ligi kuu uliopigwa uwanja wa Uhuru.

Mpanzu alikuwa mwiba mkali kwa safu ya ulinzi ya Yanga pengine kama angekuwa na ufanisi zaidi angeweza hata kuondoka na mpira katika mchezo huo.

Alifunga bao la ushindi la Simba akitendea haki pasi ya Keletso Makgalwa ambaye pia alikuwa na kiwango bora baada ya kuingia kipindi cha pili.

Mpanzu aliwatesa vilivyo walinzi wa Yanga Ibrahim Bacca, Bakari Mwamnyeto na mlinda lango wao Djigui Diarra kabla ya kuweka kambani bao la pili lililowahakikishia Wekundu wa Msimbazi alama tatu muhimu kwa ushindi wa mabao 2-1.

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

15 de Agosto yawasili Dar kwa mchezo dhidi ya Simba
15 de Agosto yawasili Dar kwa mchezo dhidi ya Simba
1h ago
READ MORE β†’
15 de Agosto wanaandaliwa dozi saizi yao
15 de Agosto wanaandaliwa dozi saizi yao
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 20, 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 20, 2026
5h ago
READ MORE β†’
CAF yabadili mwamuzi wa mchezo wa 15 de Agosto dhidi ya Simba SC
CAF yabadili mwamuzi wa mchezo wa 15 de Agosto dhidi ya Simba SC
19h ago
READ MORE β†’
Wanasimba kushuhudia mchezo dhidi ya 15 de Agosto kwenye skrini kubwa Mwembeyanga
Wanasimba kushuhudia mchezo dhidi ya 15 de Agosto kwenye skrini kubwa Mwembeyanga
23h ago
READ MORE β†’
Huyu Libasse ni moto kweli
Huyu Libasse ni moto kweli
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama amepania kumaliza mechi mapema Jumatano
Mnyama amepania kumaliza mechi mapema Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Mara Paap!, Dube anatua Msimbazi
Mara Paap!, Dube anatua Msimbazi
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 19 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 19 2026
1d ago
READ MORE β†’
Barker aweka mkakati wa kuwaadhibu 15 de Agosto licha ya kuwazuia mashabiki
Barker aweka mkakati wa kuwaadhibu 15 de Agosto licha ya kuwazuia mashabiki
2d ago
READ MORE β†’