Tulipaswa kuwapiga nyingi - Mangungu

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
11 Oct 2026
Tulipaswa kuwapiga nyingi - Mangungu

Mwenyekiti wa Klabu ya Simba SC, Murtaza Mangungu, amesema timu yake ilikuwa na uwezo wa kuifunga Yanga mabao 10 katika Dabi ya Kariakoo, kama wachezaji wangeongeza umakini katika kutumia nafasi walizopata.

Mangungu ametoa kauli hiyo baada ya Simba kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya watani wao wa jadi, Yanga, katika mchezo huo uliokuwa na ushindani mkubwa.

Mangungu aliyebebwa na mashabiki wa Simba kwa furaha baada ya kutamatika kwa dakika 90, amesema Simba ilikuwa na nafasi za kuongeza mabao zaidi, lakini kukosekana kwa umakini katika kuzitumia kulifanya timu hiyo ishinde kwa tofauti ya bao moja pekee.

"Naweza kukwambia mechi nyingi tulizopoteza huko nyuma ni sababu ya mauza-uza lakini leo tumeonyesha uborwa wetu na pengine tulipaswa kuwafunga mabao mengi"

"Naamini tmu yetu ni bora na itaendelea kufanya viruzi na kufanya vyema katika mashindano yote msimu huu," alisema

Ushindi huo umeipeleka Simba kileleni mwa msimamo wa ligi wakiendeleza rekodi ya ushindi kwa asilimia 100 wakishinda mechi zote 7.

Aidha kocha mkuu wa Simba Steve Barker ameendeleza rekodi yake ya kibabe tangu msimu uliopita akishinda mechi ya 17 mfululizo kwenye ligi

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

15 de Agosto yawasili Dar kwa mchezo dhidi ya Simba
15 de Agosto yawasili Dar kwa mchezo dhidi ya Simba
1h ago
READ MORE β†’
15 de Agosto wanaandaliwa dozi saizi yao
15 de Agosto wanaandaliwa dozi saizi yao
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 20, 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 20, 2026
5h ago
READ MORE β†’
CAF yabadili mwamuzi wa mchezo wa 15 de Agosto dhidi ya Simba SC
CAF yabadili mwamuzi wa mchezo wa 15 de Agosto dhidi ya Simba SC
19h ago
READ MORE β†’
Wanasimba kushuhudia mchezo dhidi ya 15 de Agosto kwenye skrini kubwa Mwembeyanga
Wanasimba kushuhudia mchezo dhidi ya 15 de Agosto kwenye skrini kubwa Mwembeyanga
23h ago
READ MORE β†’
Huyu Libasse ni moto kweli
Huyu Libasse ni moto kweli
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama amepania kumaliza mechi mapema Jumatano
Mnyama amepania kumaliza mechi mapema Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Mara Paap!, Dube anatua Msimbazi
Mara Paap!, Dube anatua Msimbazi
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 19 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 19 2026
1d ago
READ MORE β†’
Barker aweka mkakati wa kuwaadhibu 15 de Agosto licha ya kuwazuia mashabiki
Barker aweka mkakati wa kuwaadhibu 15 de Agosto licha ya kuwazuia mashabiki
2d ago
READ MORE β†’