TFF yaonya timu kutoka nje kuletwa bongo kinyemela

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
10 Sep 2018
TFF yaonya timu kutoka nje kuletwa bongo kinyemela
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetoa angalizo kwa klabu na wadau wa mpira wa miguu kufuata taratibu pindi zinapoandaa mechi za kirafiki na timu kutoka nje ya nchi.

Agizo hilo la TFF limekuja siku mbili baada ya Simba kucheza mechi ya kirafiki dhidi ya AFC Leopards ya Kenya, Jumamosi jijini.

Mkurugenzi wa mashindano wa TFF, Salum Madadi alisema Simba iliitisha mechi hiyo bila kufuata utaratibu jambo ambalo limelishtua Shirikisho na kuamua kutoa angalizo mapema.

"Tumeamua kuwakumbusha hili kwa sababu hivi karibuni kuna timu mbili kutoka Kenya zilikuja nchini kucheza mechi za kirafiki dhidi ya timu za Simba na Biashara United.

Kwa bahati mbaya walioandaa mechi hizo hawakufuata taratibu za kikanuni za kuandaa mechi za kimataifa za kirafiki," alisema Madadi

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’