Mtemi ajitosa Uwenyekiti Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
10 Sep 2018
Mtemi ajitosa Uwenyekiti Simba
Mshambuliaji wa zamani wa Simba Mtemi Ramadhani amejitosa kugombea nafasi ya Uwenyekiti wa klabu hiyo.

Mtemi amechukua fomu leo ikiwa siku ya mwisho ya zoezi hilo lililoanza wiki iliyopita.

Mtemi ana degree ya masuala ya Biashara na amekuwa akishiriki katika masuala mbalimbali yanayoihusu klabu ya Simba

Mwaka jana kwenye uchaguzi wa TFF aligombea nafasi ya Umakamu wa Rais.

Mwingine aliyechukua fomu ya kuwania nafasi ya Mwenyekiti ni Swedi Mkwabi ambaye pia ni MwanaSimba damu.

Awamu iliyopita kwenye uchaguzi Mkuu wa Simba aliwania nafasi ya Makamu wa Rais.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
30m ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
1h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
7h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
19h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’