Kikosi cha Simba kinaendelea na maandalizi yake ikijifua viwanja vya Gymkhana kujiandaa na mchezo wa ligi kuu dhidi ya Yanga utakaopigwa Jumamosi, Oktoba 10 uwanja wa Uhuru.

ADVERTISE HERE