Bodi ya Ligi imethibitisha tiketi za mchezo wa ligi kuu kati ya Simba dhidi ya Yanga utakaopigwa Jumamosi, Oktoba 10 katika uwanja wa Uhuru, zimeanza kuuzwa.
Baada ya sintofahamu ya siku kadhaa hatimaye mchezo huo umeingizwa rasmi kwenye mfumo na unaweza kununua tiketi.
Mashabiki wana siku mbili tu za kununua tiketi kuelekea mchezo huo utakaopigwa saa 1 usiku.

ADVERTISE HERE