Libasse haumwi hata ukucha - Ahmed

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
7 Oct 2026
Libasse haumwi hata ukucha - Ahmed

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba SC, Ahmed Ally, amewatoa hofu mashabiki wa timu hiyo kuelekea mchezo wa dabi ya Kariakoo dhidi ya Yanga SC uliopangwa kuchezwa Jumamosi hii, Oktoba 10, 2026.

Ahmed amekanusha vikali uvumi uliokuwa ukisambaa kwenye mitandao ya kijamii kwamba winga wao tegemeo, Libasse Gueye, amepata majeraha.

Amesema taarifa hizo ni za uzushi unaolenga kuleta taharuki, akisisitiza kuwa nyota huyo raia wa Senegal haumwi hata ukucha, ni mzima wa afya na yuko fiti kwa asilimia 100 kwa ajili ya mchezo huo.

"Gueye anaendelea vizuri na maandalizi ya nguvu pamoja na wachezaji wenzake na yuko kwenye kiwango bora cha kuwasha moto kwenye dabi," alisema Ahmed

Aidha Ahmed amesema kikosi cha Simba kimeingia kambini kukamilisha awamu ya pili ya maandalizi yao baada ya kukamilisha siku 10 za maandalizi nchini Afrika Kusini.

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

15 de Agosto yawasili Dar kwa mchezo dhidi ya Simba
15 de Agosto yawasili Dar kwa mchezo dhidi ya Simba
2h ago
READ MORE β†’
15 de Agosto wanaandaliwa dozi saizi yao
15 de Agosto wanaandaliwa dozi saizi yao
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 20, 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 20, 2026
6h ago
READ MORE β†’
CAF yabadili mwamuzi wa mchezo wa 15 de Agosto dhidi ya Simba SC
CAF yabadili mwamuzi wa mchezo wa 15 de Agosto dhidi ya Simba SC
20h ago
READ MORE β†’
Wanasimba kushuhudia mchezo dhidi ya 15 de Agosto kwenye skrini kubwa Mwembeyanga
Wanasimba kushuhudia mchezo dhidi ya 15 de Agosto kwenye skrini kubwa Mwembeyanga
1d ago
READ MORE β†’
Huyu Libasse ni moto kweli
Huyu Libasse ni moto kweli
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama amepania kumaliza mechi mapema Jumatano
Mnyama amepania kumaliza mechi mapema Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Mara Paap!, Dube anatua Msimbazi
Mara Paap!, Dube anatua Msimbazi
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 19 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 19 2026
1d ago
READ MORE β†’
Barker aweka mkakati wa kuwaadhibu 15 de Agosto licha ya kuwazuia mashabiki
Barker aweka mkakati wa kuwaadhibu 15 de Agosto licha ya kuwazuia mashabiki
2d ago
READ MORE β†’