Simba kuingia kambini kukamilisha maandalizi ya Kariakoo Derby

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
5 Oct 2026
Simba kuingia kambini kukamilisha maandalizi ya Kariakoo Derby

Baada ya kurejea kutoka Afrika Kusini, kikosi cha Simba kinatarajiwa kuingia kambini kwa ajili ya maandalizi ya mwisho kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Yanga utakaopigwa Jumamosi, Oktoba 10 kwenye uwanja wa Uhuru.

Meneja wa Simba Patrick Rweyemamu amesema timu imerejea salama wachezaji wote wakiwa katika hali nzuri ambapo watakuwa na takribani siku nne kukamilisha maandalizi yao kuelekea mtanange huo wa dabi ya Kariakoo.

Libasse kaumia?

Katika hatua nyingine, uvumi unaendelea kusambaa mtandaoni kuhusu kiungo mshambuliaji Libasse Gueye taarifa zikidai alipata jeraha la kifundo cha mguu katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Sekhukhune United.

Hata hivyo mpaka sasa hakuna taarifa yoyote ya kuthibitisha na hivyo jambo hilo kusalia kwenye 'uzushi tu'.

Libasse alishiriki mechi zote mbili za kirafiki ambazo Simba walicheza Afrika Kusini kabla ya kurejea nchini jana tayari kukamilisha sehemu ya pili ya maandalizi yake.

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

15 de Agosto yawasili Dar kwa mchezo dhidi ya Simba
15 de Agosto yawasili Dar kwa mchezo dhidi ya Simba
1h ago
READ MORE β†’
15 de Agosto wanaandaliwa dozi saizi yao
15 de Agosto wanaandaliwa dozi saizi yao
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 20, 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 20, 2026
5h ago
READ MORE β†’
CAF yabadili mwamuzi wa mchezo wa 15 de Agosto dhidi ya Simba SC
CAF yabadili mwamuzi wa mchezo wa 15 de Agosto dhidi ya Simba SC
19h ago
READ MORE β†’
Wanasimba kushuhudia mchezo dhidi ya 15 de Agosto kwenye skrini kubwa Mwembeyanga
Wanasimba kushuhudia mchezo dhidi ya 15 de Agosto kwenye skrini kubwa Mwembeyanga
23h ago
READ MORE β†’
Huyu Libasse ni moto kweli
Huyu Libasse ni moto kweli
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama amepania kumaliza mechi mapema Jumatano
Mnyama amepania kumaliza mechi mapema Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Mara Paap!, Dube anatua Msimbazi
Mara Paap!, Dube anatua Msimbazi
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 19 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 19 2026
1d ago
READ MORE β†’
Barker aweka mkakati wa kuwaadhibu 15 de Agosto licha ya kuwazuia mashabiki
Barker aweka mkakati wa kuwaadhibu 15 de Agosto licha ya kuwazuia mashabiki
2d ago
READ MORE β†’