Simba yamaliza kambi Afrika Kusini, yarejea Dar leo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
4 Oct 2026
Simba yamaliza kambi Afrika Kusini, yarejea Dar leo

Kikosi cha Simba kimemaliza kambi ya siku 10 nchini Afrika Kusini ambapo leo wanarejea Dar es salaam kuendelea na maandalizi kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Yanga.

Akizungumza baada ya kukamilika program hiyo, Meneja wa Simba Patrick Rweyemamu alisema timu imepata wakati mzuri wa kujiandaa katika eneo lenye utulivu mkubwa.

Rweyemamu amesema kile walichokusudia kimekamilika licha ya kukiri changamoto ya baadhi ya wachezaji kuchelewa kutokana na tatizo la Visa.

Rweyemamu ameushukuru uongozi wa Simba chini ya Rais wa heshima Bilionea Mohamed Dewji 'Mo' kwa kufanikisha kambi hiyo.

Simba imerejea kukamilisha awamu ya pili ya maandalizi yake kuelekea mchezo dhidi ya Yanga utakaopigwa Oktoba 10.

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

15 de Agosto yawasili Dar kwa mchezo dhidi ya Simba
15 de Agosto yawasili Dar kwa mchezo dhidi ya Simba
1h ago
READ MORE β†’
15 de Agosto wanaandaliwa dozi saizi yao
15 de Agosto wanaandaliwa dozi saizi yao
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 20, 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 20, 2026
5h ago
READ MORE β†’
CAF yabadili mwamuzi wa mchezo wa 15 de Agosto dhidi ya Simba SC
CAF yabadili mwamuzi wa mchezo wa 15 de Agosto dhidi ya Simba SC
19h ago
READ MORE β†’
Wanasimba kushuhudia mchezo dhidi ya 15 de Agosto kwenye skrini kubwa Mwembeyanga
Wanasimba kushuhudia mchezo dhidi ya 15 de Agosto kwenye skrini kubwa Mwembeyanga
23h ago
READ MORE β†’
Huyu Libasse ni moto kweli
Huyu Libasse ni moto kweli
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama amepania kumaliza mechi mapema Jumatano
Mnyama amepania kumaliza mechi mapema Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Mara Paap!, Dube anatua Msimbazi
Mara Paap!, Dube anatua Msimbazi
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 19 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 19 2026
1d ago
READ MORE β†’
Barker aweka mkakati wa kuwaadhibu 15 de Agosto licha ya kuwazuia mashabiki
Barker aweka mkakati wa kuwaadhibu 15 de Agosto licha ya kuwazuia mashabiki
2d ago
READ MORE β†’