Kinadada wa Simba Queens wametwaa Ngao ya Jamii 2026/27 baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya JKT Queens katika mchezo wa fainali uliopigwa uwanja wa KMC Complex.
Bao lililoihakikishia Simba Queens taji la mapema kuelekea msimu mpya lilifungwa na Aisha Mnunka.
Ni mwanzo mzuri wa msimu kwa Simba Queens ambayo ina jukumu la kutetea taji la ligi kuu ya Wanawake msimu huu 2026/27.
Hongera Simba Queens, wababe wa kweli wa soka la Wanawake Tanzania..!

ADVERTISE HERE