Kikosi cha Simba kimekamilisha maandalizi yake kwa mchezo wa pili wa kirafiki dhidi ya Sekhukhune United.
Mchezo huo uliopigwa Johanesburg leo, umemalizika kwa Sekhukhune kuibuka na ushindi wa mabao 2-1.
Huo ulikuwa mchezo wa pili kwa Simba baada ya hapo jana pia kucheza dhidi ya Polokwane City na kupoteza kwa bao 1-0.
Kikosi cha Simba kinatarajiwa kurejea nchini kuendelea na maandalizi kuelekea Dabi ya Kariakoo dhidi ya Yanga.










ADVERTISE HERE