Siku ya mwisho kuchukua fomu za uongozi Simba ni leo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
10 Sep 2018
Siku ya mwisho kuchukua fomu za uongozi Simba ni leo
Mkuu wa Habari wa klabu ya Simba Haji Manara amewataka wanachama wa klabu hiyo wenye sifa kutumia furasa ya kugombea uongozi leo ikiwa ndio siku ya mwisho ya zoezi la kuchukua fomu.

Mpaka jana bado hakukuwa na mtu aliyejitokeza kuchukua fomu ya kugombea Uwenyekiti huku Wanachama sita wakiwa wamechukua fomu kugombea nafasi za Ujumbe wa Bodi.

"Leo ni siku ya Mwisho kwa Wanachama wa Simba kuchukua fomu za kuomba kuchaguliwa kuwa Viongozi wa klabu yetu.

"Nawasihi sana twendeni tukachukue nafasi za Uongozi. Hii ni fursa yetu adhimu ya kuiongoza Simba mpya yenye mabadiliko ya kimuundo.

"Tunahitaji watu watakaoifanya Klabu yetu kufikia malengo yako." amesema Manara

Uchaguzi Mkuu wa Simba unatarajiwa kufanyika Novemba 03, 2018.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
8h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
14h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
17h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
21h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’