Simba kukamilisha maandalizi Afrika Kusini kwa kuikabili Sekhukhune United

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
3 Oct 2026
Simba kukamilisha maandalizi Afrika Kusini kwa kuikabili Sekhukhune United

Kikosi cha Simba kiliwasili mji wa Johanesburg jana ambapo leo kinatarajiwa kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Sekhukhune United.

Huo utakuwa mchezo wa mwisho kwa Simba ambao utahitimisha maandalizi ya siku 10 nchini Afrika Kusini.

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba Ahmed Ali amesema baada ya mchezo huo kikosi cha Simba kitarejea nchini kukamilisha maandalizi yake kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Yanga.

Jana Simba iliondoka Polokwane baada ya kukamilisha mchezo wa kirafiki dhidi ya Polokwane City wakipoteza mchezo huo kwa bao 1-0.

Wekundu wa Msimbazi wametumia vyema kipindi hiki cha mapumziko ya kalenda ya FIFA kwa kuweka kambi huko Afrika Kusini kuboresha maeneo yaliyokuwa na changamoto.

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

15 de Agosto yawasili Dar kwa mchezo dhidi ya Simba
15 de Agosto yawasili Dar kwa mchezo dhidi ya Simba
1h ago
READ MORE β†’
15 de Agosto wanaandaliwa dozi saizi yao
15 de Agosto wanaandaliwa dozi saizi yao
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 20, 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 20, 2026
5h ago
READ MORE β†’
CAF yabadili mwamuzi wa mchezo wa 15 de Agosto dhidi ya Simba SC
CAF yabadili mwamuzi wa mchezo wa 15 de Agosto dhidi ya Simba SC
19h ago
READ MORE β†’
Wanasimba kushuhudia mchezo dhidi ya 15 de Agosto kwenye skrini kubwa Mwembeyanga
Wanasimba kushuhudia mchezo dhidi ya 15 de Agosto kwenye skrini kubwa Mwembeyanga
23h ago
READ MORE β†’
Huyu Libasse ni moto kweli
Huyu Libasse ni moto kweli
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama amepania kumaliza mechi mapema Jumatano
Mnyama amepania kumaliza mechi mapema Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Mara Paap!, Dube anatua Msimbazi
Mara Paap!, Dube anatua Msimbazi
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 19 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 19 2026
1d ago
READ MORE β†’
Barker aweka mkakati wa kuwaadhibu 15 de Agosto licha ya kuwazuia mashabiki
Barker aweka mkakati wa kuwaadhibu 15 de Agosto licha ya kuwazuia mashabiki
2d ago
READ MORE β†’