Mchezo wa kujipima nguvu kati ya Polokwane City dhidi ya Simba umemalizika kwa Wekundu wa Msimbazi kupoteza kwa bao 1-0.
Kupitia kurasa za mitandao ya kijamii, Simba imethibitisha mchezo huo ambao ni mmoja kati ya mechi mbili ambazo Simba itacheza Afrika Kusini kabla ya kurejea Tanzania.
Kesho Jumamosi, Simba itacheza mechi nyingine dhidi ya Sekhukhune united katika jiji la Johanesburg.










ADVERTISE HERE