Kariakoo Derby ni uwanja wa Uhuru

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
2 Oct 2026
Kariakoo Derby ni uwanja wa Uhuru

Mchezo wa ligi kuu kati ya Simba dhidi ya Yanga uliopangwa kupigwa Oktoba 10, mtanange huo utapigwa uwanja wa Uhuru.

Ni rasmi sasa sintofahamu kuhusu wapi mchezo huo utapigwa imemalizika kwani imethibitishwa ni shamba la Bibi.

Kwa mujibu wa ratiba ya awali, mchezo unatarajiwa kupigwa saa 1 usiku.

Simba ndio wenyeji wa mtanange huo unaosubiriwa kwa hamu na mashabiki wa soka nchini.

Wekundu hao wa Msimbazi wanaendelea na maandalizi yao Afrika Kusini kuelekea mchezo huo.

Leo Simba inatarajiwa kucheza mechi ya kirafiki dhidi ya Polokwane City.

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

15 de Agosto yawasili Dar kwa mchezo dhidi ya Simba
15 de Agosto yawasili Dar kwa mchezo dhidi ya Simba
1h ago
READ MORE β†’
15 de Agosto wanaandaliwa dozi saizi yao
15 de Agosto wanaandaliwa dozi saizi yao
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 20, 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 20, 2026
5h ago
READ MORE β†’
CAF yabadili mwamuzi wa mchezo wa 15 de Agosto dhidi ya Simba SC
CAF yabadili mwamuzi wa mchezo wa 15 de Agosto dhidi ya Simba SC
19h ago
READ MORE β†’
Wanasimba kushuhudia mchezo dhidi ya 15 de Agosto kwenye skrini kubwa Mwembeyanga
Wanasimba kushuhudia mchezo dhidi ya 15 de Agosto kwenye skrini kubwa Mwembeyanga
23h ago
READ MORE β†’
Huyu Libasse ni moto kweli
Huyu Libasse ni moto kweli
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama amepania kumaliza mechi mapema Jumatano
Mnyama amepania kumaliza mechi mapema Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Mara Paap!, Dube anatua Msimbazi
Mara Paap!, Dube anatua Msimbazi
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 19 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 19 2026
1d ago
READ MORE β†’
Barker aweka mkakati wa kuwaadhibu 15 de Agosto licha ya kuwazuia mashabiki
Barker aweka mkakati wa kuwaadhibu 15 de Agosto licha ya kuwazuia mashabiki
2d ago
READ MORE β†’