Kikosi cha Simba leo kimekamilisha maandalizi tayari kwa mechi mbili za kujipima nguvu huko Afrika Kusini.
Kesho Ijumaa Simba itacheza dhidi ya Polokwane City na kukamilisha mechi ya pili siku ya Jumamosi dhidi ya Sekhukhune United.










ADVERTISE HERE