Teka la boli linasubiriwa kuanza kazi baada ya mapumziko ya FIFA

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
30 Sep 2026
Teka la boli linasubiriwa kuanza kazi baada ya mapumziko ya FIFA

Mshambuliaji wa Simba Ibrahim Doumbia jana alitua Polokwane Afrika Kusini kuungana na wachezaji wenzake katika maandalizi kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Yanga pamoja na mechi nyingine za ligi na CAFCL zitakazoendelea baada ya mapumziko ya kalenda ya FIFA.

Bado Wanasimba wana matumaini makubwa kwa mshambuliaji huyo ambaye tangu atue Msimbazi, mashabiki wanasubiri kushangilia bao lake la kwanza kwenye mechi za mashindano.

Katika kuonyesha uungwaji mkono, juzi jijini Dar es salaam baadhi ya mashabiki waliendesha dua maalum ya kumuombea mshambuliaji huyo ili aweze kurejesha makali yake.

Wakati mwingine yale mambo ya gizani yapo, Doumbia alitua Simba akiwa na rekodi ya aina yake aliyoweka msimu uliopita kwenye ligi ya Mali akipachika takribani mabao 23 katika mashindano yote.

Lakini hali imekuwa tofauti tangu atue Msimbazi, imekuwa ngumu kwake kuzifumania nyavu licha ya kuendelea kuaminiwa na kupewa nafasi ya kocha Steve Barker.

Pengine ligi itakaporejea mashabiki wa Simba watarajie kumuona Doumbia tofuati, 

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

15 de Agosto yawasili Dar kwa mchezo dhidi ya Simba
15 de Agosto yawasili Dar kwa mchezo dhidi ya Simba
1h ago
READ MORE β†’
15 de Agosto wanaandaliwa dozi saizi yao
15 de Agosto wanaandaliwa dozi saizi yao
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 20, 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 20, 2026
5h ago
READ MORE β†’
CAF yabadili mwamuzi wa mchezo wa 15 de Agosto dhidi ya Simba SC
CAF yabadili mwamuzi wa mchezo wa 15 de Agosto dhidi ya Simba SC
19h ago
READ MORE β†’
Wanasimba kushuhudia mchezo dhidi ya 15 de Agosto kwenye skrini kubwa Mwembeyanga
Wanasimba kushuhudia mchezo dhidi ya 15 de Agosto kwenye skrini kubwa Mwembeyanga
23h ago
READ MORE β†’
Huyu Libasse ni moto kweli
Huyu Libasse ni moto kweli
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama amepania kumaliza mechi mapema Jumatano
Mnyama amepania kumaliza mechi mapema Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Mara Paap!, Dube anatua Msimbazi
Mara Paap!, Dube anatua Msimbazi
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 19 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 19 2026
1d ago
READ MORE β†’
Barker aweka mkakati wa kuwaadhibu 15 de Agosto licha ya kuwazuia mashabiki
Barker aweka mkakati wa kuwaadhibu 15 de Agosto licha ya kuwazuia mashabiki
2d ago
READ MORE β†’