Mastaa zaidi Simba watua kambini Polokwane

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
30 Sep 2026
Mastaa zaidi Simba watua kambini Polokwane

Kikosi cha Simba kinaendelea na kambi yake maalum ya maandalizi nchini Afrika Kusini katika mji wa Polokwane ambapo mastaa zaidi wametua kuungana na wenzao.

Jana mshambuliaji Ibrahim Doumbia pamoja na winga Anicet Oura walitua Polokwane kuungana na wenzao ambao sasa wana takribani siku tano tangu walipoanza maandalizi.

Imeelezwa sababu ya baadhi ya wachezaji kuchelewa ni kutokana na changamoto ya hati za kusafiria.

Simba inaendelea na maandalizi yake ya kimkakati kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya watani zao Yanga utakaopigwa Oktoba 10 jijini Dar es salaam.

Lakini pia maandalizi yao ni maalum yakilenga kuimarisha 'fitness' ya wachezaji baada ya kutopata pre-season nzuri kuelekea msimu huu.

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

15 de Agosto yawasili Dar kwa mchezo dhidi ya Simba
15 de Agosto yawasili Dar kwa mchezo dhidi ya Simba
1h ago
READ MORE β†’
15 de Agosto wanaandaliwa dozi saizi yao
15 de Agosto wanaandaliwa dozi saizi yao
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 20, 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 20, 2026
5h ago
READ MORE β†’
CAF yabadili mwamuzi wa mchezo wa 15 de Agosto dhidi ya Simba SC
CAF yabadili mwamuzi wa mchezo wa 15 de Agosto dhidi ya Simba SC
19h ago
READ MORE β†’
Wanasimba kushuhudia mchezo dhidi ya 15 de Agosto kwenye skrini kubwa Mwembeyanga
Wanasimba kushuhudia mchezo dhidi ya 15 de Agosto kwenye skrini kubwa Mwembeyanga
23h ago
READ MORE β†’
Huyu Libasse ni moto kweli
Huyu Libasse ni moto kweli
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama amepania kumaliza mechi mapema Jumatano
Mnyama amepania kumaliza mechi mapema Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Mara Paap!, Dube anatua Msimbazi
Mara Paap!, Dube anatua Msimbazi
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 19 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 19 2026
1d ago
READ MORE β†’
Barker aweka mkakati wa kuwaadhibu 15 de Agosto licha ya kuwazuia mashabiki
Barker aweka mkakati wa kuwaadhibu 15 de Agosto licha ya kuwazuia mashabiki
2d ago
READ MORE β†’