Kagere atupia Rwanda ikilala 2-1 dhidi ya Ivory Coast

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
9 Sep 2018
Kagere atupia Rwanda ikilala 2-1 dhidi ya Ivory Coast
Kwa wale wanaodhani mshambuliaji Meddie Kagere anafunga bongo tu habari ziwafikie kuwa leo ameifungia Rwanda bao la kufutia machozi dhidi ya Ivory Coast katika mchezo wa kusaka tiketi ya kufuzu michuano ya AFCON 2019.

Huo ni mchezo wa sita mfululizo katika mashindano tofauti katika ngazi ya klabu pamoja na timu ya taifa kwa Kagere kufunga.

Jonathan Kodja ndiye alitangulia kuifungia Ivory Coast iliyokuwa ugenini kufunga bao kabla ya Max Gradel kuongeza la pili na baadaye Kagere kupachika bao hilo pekee.

Hata hivyo matokeo hayo yamezidi kuiweka Rwanda katika mazingira magumu baada ya kupoteza michezo yote miwili.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
2h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
5h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
23h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’