Simba imeingia siku ya tatu ya maandallizi nchini Afrika Kusini katika mkakati wa siku 10 za mazoezi makali yanayoendelea mji wa Polokwane nje kidogo ya jiji la Jonanesburg.
Steve Barker na vijana wake wamepania kuendeleza dozi pale ligi itakaporejea.










ADVERTISE HERE