Kikosi cha Simba leo kimefanya mazoezi ya kwanza nchini Afrika Kusini katika mji wa Polokwane ikiwa ni sehemu ya kambi ya siku 10.
Mnyama anajifua kujiweka sawa tayari kwa mikiki mikiki ya ligi na michuano ya Kimataifa baada ya kuhitimishwa kwa kalenda ya FIFA.









ADVERTISE HERE