Kikosi cha Simba kimeondoka jijini Dar es salaam leo Alhamisi, Septemba 24 kuelekea Afrika Kusini.
Simba inatarajiwa kuweka kambi ya siku 10 katika mji wa Polokwane kwa ajili ya maandalizi ya mechi zitakazofuata baada ya mapumziko ya kalenda ya FIFA.








ADVERTISE HERE